Kwa upande wako unadhani kuna umuhimu wowote wa kukijua kiingereza?
Sunday, July 31, 2016
Mbunge Professor Jay Akibeza Kingereza..Adai Sio Muhimu Kukijua..
By jungukuuleo 9:31:00 PM
Msanii wa Hip Hop na Mbunge wa Mikumi, Professor Jay amesema kutokujua Kiingereza siyo dhambi. "Hii sijui kiingereza, Kiingereza ni Kushoboka tu. Viongozi wengi mbona tunaona wanakuja hapa Tanzania hawajui Kiingereza."
Kwa upande wako unadhani kuna umuhimu wowote wa kukijua kiingereza?
Related Posts:
Zuio la Mikutano ya Kisiasa ni Kumyima Mwanchi Uhuru wa Haki ya Kujumuika- Kijo Bisimba. Serikali imetakiwa kufanya marekebisho ya sheria mbalimbali ambazo zimeonekana kuwa kandamizi ikiwepo ile sheria za vyombo vya habari ambazo zinakandamiza uhuru wa vyombo vya habari pamoja na waandishi wenyewe.… Read More
Katiba Mkuu Chadema Dkt Vicent Mashinji Awafunda Bavicha...... Awapatia Mbinu za Kushinda 2020 Katibu Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo Dkt Vicent Mashinji amewataka vijana wa Bavicha kutokuwa wazembe wakufikiria bali kujipanga kwa ajili ya kushika dola mwaka wa uchaguzi mkuu 2020 huku akiwapatia k… Read More
NCCR wamtimua makamu Mwenyekiti wa Chama Chama cha NCCR – Mageuzi kimemvua uanachama makamu mwenyekiti wake (Bara), Leticia Ghati (pichani) kikimtuhumu kujihusisha na migogoro ndani ya chama na tuhuma nyingine za kijinai. Mwenyekiti wa chama hicho, J… Read More
Kikwete Akata Mzizi wa Fitina....Awapiga Kijembe Waliodhani CCM Itakufa MWENYEKITI wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amekata mzizi wa fitna kwa kutangaza rasmi kuwa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM, utakaofanyika mjini Dodoma kesho utafanya kazi moja tu… Read More
BAVICHA Waikimbia Dodoma......Waamua Kuhamishia Mkutano wao Dar es Salaam Wakati kukiwa na ulinzi mkali mjini Dodoma kuelekea Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM, Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limehamishia mkutano wake wa kamati ya utendaji jijini Dar es Salaam. Jana, sekretareti ya CCM … Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU