"Nimefanya haya baada ya kuona kile nilichokuwa nakitaka kwenye nchi
yangu Rais Magufuli anakifanya, kwanini niichukie CCM? naipenda CCM na
CCM ndio nyumbani." – Jackline Wolper
Waziri Mkuu Majaliwa Amjulia Hali Spika Wa Bunge, Job Ndugai
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge , Job Ndugai wakati alipokwenda nyumbani kwa Spika jijini Dar es salaam kumsalimia Julai 29, 2016. Mheshimiwa Spika amerejea nchini hivi karibuni akitoka India kwa…Read More
Lowassa Atofautiana na Chadema, Ampa Sifa Rais Magufuli...
Lowassa
KWA mara ya kwanza,mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha mwaka jana
,Aliyekuwa Mgombea Urais wa CHADEMA,Edward Lowassa leo hii amefunguka na
kukiri juu ya uwezo wa JPM katika kutenda kazi.
Lowassa ambaye le…Read More