Rapa Nay wa Mitego ambaye amefungiwa kujihusisha na shughuli za
muziki na Baraza la sanaa nchini BASATA, amaefunguka na kudai kuwa
atazimis shughuli alizokuwa akizifanya.
Kupitia ukurasa wake wa instagram, Mitego ameweka picha akiwa jukwaani na kuandika ‘Caption’ ya “Daah nitazimis sana hizi”
BASATA imemfungia rapa huyo kwa kipindi ambacho hakijajulikana, mpaka
pale watakapojiridhisha kwamba amebadilika ikiwemo kujisajili kufanya
shughuli za sanaa nchini.
Related Posts:
Diamond, AY, Alikiba, Joh Makini, Yamoto Band, DJ D-Ommy watajwa kuwania tuzo za AEA Marekani,Fahamu vipengele wanavyowania
Diamond Platnumz, AY, Alikiba, Joh Makini na DJ D-Ommy na wengine wametajwa kuwania tuzo za Afrika Entertainment Awards, USA.
Ni Diamond ndiye aliyetajwa kuwania vipengele vingi zaidi vikiwemo
Best Male Single, Best Vid… Read More
Tazama Video Mpya ya Msanii wa Nyimbo za Asili Ng'wana Malezu- Magonjwa
Ninayo hapa Video mpya ya Msanii wa Nyimbo za asili Ng'wana Malezu wimbo unaitwa Magonjwa..Tazama hapa chini
… Read More
Picha: Vazi la Shilole utatamani kutangaza ndoaKuna kitu cha kuvutia pale unapomuona mtu uliyemzoea akiwa kwenye
muonekano wa tofauti – tena kwenye mavazi kama alizoea kuvaa vivazi vya
fashion ukimuona akiwa ndani ya dela au baibui.
Shilole ameonyesha utofauti huo wa… Read More
The five richest Bongo Flavour artistes
NASEEB ABDUL (DIAMOND)
He stayed in the
shadows for long looking for a break but now that the limelight has been
trained on him, he has proved that he belongs at the top of the music
charts. He finally made a debut in … Read More
[VIDEO]BREAKING NEWSS::VIDEO MPYA YA YAMOTO BAND YAITIKISA MITANDAO YA KIJAMII,TAZAMA HAPA KAMA BADO HUJAIONA
TAZAMA HAPA>>>>>>>>>>>>>>>. … Read More