Msafara
wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali
baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya
jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato
wakitokea mkoani Geita.
Thursday, July 14, 2016
Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana
By jungukuuleo 1:27:00 AM
Related Posts:
Daktari FEKI adaiwa kuua mgonjwa Singida Baada ya Kumfanyia Upasuaji wa Tezi Dume Mkazi mmoja mkoani Singida anayedaiwa kuwa daktari feki anatuhumiwa kusababisha kifo cha mgonjwa, Israel Shabani (68) baada ya kumfanyia upasuaji wa tezi dume. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka… Read More
(TCU) imetoa Orodha ya Vyuo Ambavyo Havitaruhusiwa Kudahili Wanafunzi Kwa Mwaka wa Masomo 2016/17 Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imetoa orodha ya vyuo ambavyo havitaruhusiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2016/17. Vyuo vilivyozuiwa kudahili ni pamoja na; 1. International Medical and Technological … Read More
Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara Ya Elimu … Read More
Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi Ajinyonga Baada ya Kugundulika ana Virusi Vya UKIMWI Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Imara, Samwel Arcado (39) amejinyonga ndani ya chumba chake kwa madai ya kugundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU). Mlinzi huyo ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Mji wa Z… Read More
Taarifa Kwa Umma Kutoka MSD Juu Ya Uamuzi Wa Bodi Ya Wadhamini Kuhusu Wakurugenzi Waliosimamishwa … Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU