Home »
SIASA
» Picha 5 za Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe Alivyofunga ndoa jana Zanzibar
Mbunge
wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe jana aliuacha rasmi ukapera baada ya
kufunga ndoa na mpenzi wake aliyemvisha pete ya uchumba miezi miwili
iliyopita, ndoa na tafrija zote zilifanyika Zanzibar.