test

Saturday, July 9, 2016

Picha: Vazi la Shilole utatamani kutangaza ndoa

Kuna kitu cha kuvutia pale unapomuona mtu uliyemzoea akiwa kwenye muonekano wa tofauti – tena kwenye mavazi kama alizoea kuvaa vivazi vya fashion ukimuona akiwa ndani ya dela au baibui.
Shishi
Shilole ameonyesha utofauti huo wa kuvaa mavazi yaliyoonekana kumtoa na kumfanya aonekane kama ameolewa uarabuni! Check picha zake zingine hapo chini.
Shishi 2
Shishi 3
Hizi ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye picha hizo:
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU