Sunday, July 3, 2016
TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia
By jungukuuleo 2:15:00 AM
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Kilindi mkoani Tanga, ndugu Beatrice Shelukindo amefariki dunia Leo jioni jijini Arusha alikokuwa akijiuguza.
Mwili umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Mount Meru.
Related Posts:
Mfanyabiashara Anayedaiwa Kujipatia Milioni 7 Kwa Dakika Afikishwa Mahakamani Na Kusomewa Mashitaka 199 Mfanyabiashara Mohamed Mustapha (anayeongea na simu) na wenzake, wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana kukabiliana na tuhuma za kuibia Serikali kodi ya Sh milioni 7 kwa kila dakika kwa kipind… Read More
Mwalimu acharangwa mapanga kwa kumpa mimba mwanafunzi Mwalimu wa Shule ya Msingi Geitasamo iliyopo Kata ya Rung’abure wilayani Serengeti Mkoa wa Mara, Raphael Charles (22) amenusurika kufa kwa kucharangwa mapanga kwa tuhuma za kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne… Read More
Magazeti 473 Yafutiwa Usajili SERIKALI imefuta usajili wa magazeti 473 kutokana na kutochapishwa kwa muda wa miaka mitatu mfululizo. Akizungumza na waandishi wa habari jana Dar es Salaam, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye … Read More
Wanachuo 2,739 Wasitishiwa Mikopo BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesitisha kwa muda mikopo kwa wanafunzi 2,739 walioshindwa kujitokeza wakati wa kuhakiki wanufaika wa mikopo hiyo. Aidha, imetoa siku saba kuanzia jana kwa wana… Read More
Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana Msafara wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Cha… Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU