Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA), Patrick Ole Sosopi,
ametangaza kuwafuta uanachama wanachama watatu wa chama hicho kwa kile
kilichodaiwa kuwa ni usaliti ndani ya chama.
Waliofutwa uanachama ni pamoja na aliyekua Naibu Katibu Mkuu Bara,
Getrude Ndibalema na Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Kilimanjaro, Dickson
Kibona.
Akizungumza leo Mei 22, katika mkutano na waandishi wa habari jijini
Arusha, Ole Sosopi amesema kwamba uamuzi huo umekuja baada ya kufuata
taratibu zote za kuwahoji kupitia tume iliyoundwa.
Amesema viongozi hao wamehojiwa baada ya kuwepo tuhuma za usaliti ambazo
ni kosa kwenye chama hicho, Sosopi amesema Bavicha imeridhia kuwaondoa
wanachama hao baada ya kujiridhisha kwa makosa waliyoyafanya.
Monday, May 21, 2018
CHADEMA yafukuza Wanachama Kwa Usaliti
Related Posts:
Nyayo za Lowassa kutikisa Kikao cha CCM Dodoma Wakati CCM ikijiandaa kumkabidhi Rais John Magufuli uenyekiti, suala la masalia ya Edward Lowassa linaweza kuchukua nafasi kubwa katika vikao vitatu vya juu vinavyofanyika kwa mara ya kwanza tangu kumalizika Uchaguzi M… Read More
BAVICHA Waikimbia Dodoma......Waamua Kuhamishia Mkutano wao Dar es Salaam Wakati kukiwa na ulinzi mkali mjini Dodoma kuelekea Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM, Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha) limehamishia mkutano wake wa kamati ya utendaji jijini Dar es Salaam. Jana, sekretareti ya CCM … Read More
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuzindua upanuzi Uwanja wa Ndege Dodoma WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo atazindua awamu ya kwanza ya upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Dodoma ili uweze kupokea ndege kubwa za mizigo, abiria na viongozi wa kitaifa na kimataifa. Uzinduzi huo ni miongoni mwa m… Read More
Waziri Mkuu Aagiza Mauzo Ya Vitalu Vya Uvunaji Wa Miti Yafanyike Kwa Njia Ya Mnada Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameuagiza uongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kubadilisha mfumo wa uvunaji wa vitatlu vya miti kwenye mashamba ya Serikali ili kuweka uwazi kwenye … Read More
Mikoa ya Dar es Salaam na Dodoma Yaongoza Kwa Mapenzi ya Jinsia Moja Takwimu zilizotolewa na wizara ya afya, maendeleo ya jamii jinsia , watoto na wazee nchini zinaonyesha kuwa mkoa wa Dar es salaam na Dodoma inaongoza kwa vitendo vya mapenzi ya jinsia moja Akiongea na waandishi wa … Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU
0 comments:
Post a Comment