Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa meza kuu katika Ukumbi wa mikutano wa Kikwete
katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) ukumbi wa Kikwete leo Jumatatu Mei 28, 2018
Katibu
Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakati akisoma muhtasari wa Mkutano
wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Katika
ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo Jumatatu Mei 28, 2018
Wajumbe
wakishangilia baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli kuwaita Ndg. Mizengo Pinda
na Ndg. Makongoro Nyerere waingie ukumbini baada ya kukubaliwa kuwa
wajumbe wa Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) katika ukumbi wa Kikwete jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Mei 28, 2018
0 comments:
Post a Comment