Kampuni ya SportPesa imeandaa mashindano ya timu nane kutoka
Tanzania na Kenya ambayo yanadhaminiwa na kampuni hiyo katika ukanda huu
wa Afrika Mashariki.
Mashindano hayo yatafanyika Nairobi Kenya ambapo mshindi wa
mashindano hayo atakwenda England kucheza na moja ya timu ambazo
zinadhaminiwa na kampuni hiyo.
Kwa upande wa Tanzania timu zitakazoshiriki michuano hiyo
inayotarajiwa kuanza mapema mwezi Juni 2018 ni Yanga, Simba, Singida
United pamoja na JKU ya Zanzibar.
“Mashindano hayo yalianza hapa (Tanzania) mwaka jana na sasa
yanakwenda Kenya kwa mtazamo uleule na mafanikio yaleyale yaliyopatikana
mwaka jana lakini safari hii mafanikio yatakuwa makubwa sana kwa sababu
mshindi wa mashindano haya anaweza kwenda kucheza Uingereza”-Abbas
Tarimba, mwakilishi wa SportPesa Tanzania.
“Mshindi atakaekwenda kucheza Uingereza atanufaika si tu na dakika 90
za mchezo lakini kuna mambo mengi ambayo wanaweza kujifunza ikiwa ni
pamoja na kuendeleza weledi wao katika mpira wa miguu.”
“Mashindano yatashirikisha timu nane, nne kutoka Kenya na nne kutoka
Tanzania hivyo ni mashindano yenye chachu kubwa sana na yanafanyika
wakati mzuri sana.”
Friday, May 18, 2018
Simba na Yanga zimepewa mchongo kucheza England
Related Posts:
VIDEO:Ureno Kutoka Best Loser Hadi Mabingwa wa UERO 2016 Ureno wameweza kuikabili Ufaransa na kuichapa bao 1-0 kwenye mchezo wa fainali ya michuano ya Euro 2016 na kushinda taji lao kubwa kwa mara ya kwanza bila ya nahodha wao Cristiano Ronaldo aliyetoka mapema kip… Read More
VIDEO: Jikumbushe TOP 5 ya magoli bora ya hatua ya mtoano Euro 2016 … Read More
URENO YASHINDA KOMBE LA EURO 2016FT (after Extra Time) PORTUGAL 1, FRANCE 0. Eder's 1st international goal wins Portugal their 1st title. Incredible! ===== UPDATES Confirmed lineups 01min: POR 0 - 0 FR… Read More
Sentensi za Mama yake Ronaldo Baada ya Kumuona Mwanae Analia Usiku wa July 10 2016 mchezo wa fainali ya Euro 2016 ulichezwa na kushuhudia timu ya taifa ya Ureno ikifanikiwa kutwaa Kombe la Euro kwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhid ya mwenyeji Ufaransa. Tukio la kuu… Read More
UEFA wametaja kikosi bora cha michuano ya Euro 2016 Siku moja baada ya michuano ya Euro 2016 kumalizika na timu ya taifa ya Ureno kutwaa taji Kombe hilo, leo July 11 2016 shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limetaja maji… Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU
0 comments:
Post a Comment