Tatizo wadada wa mjini mnapenda kuoelewa/ kudate mastaa Ila hamtaki
kulipa gharama, ku date na staa sio mchezo, mamillion ya watu wanatamani
kulala na mastaa, mastaa huwa wanasumbuliwa kila kukicha, ebu fikiria
mtu kama Rihanna, unadhani hakuna mtu wa kumuoa? , tatizo watu wanajua
ni stress kumdate rihanna , mtu kila siku anazunguka duniani kufanya
shoo, unajua anakutana na watu wangapi? , Hana muda na mpenzi wala
familia, uko tayar kuvumilia ku date mtu kama huyo , uko tayar ku cope? ,
mastaa hawana muda wa kutosha wa ku enjoy na familia zao.
Sasa Dada yetu zari wakati unakutana na diamond ulimkuta akiwa staa
tayar , alikua na msululu kibao wa wanawake aliodate nao au kulala nao ,
ulijua fika kuwa mtu wako anawindwa na wadada wa mujini, Ila wewe
ukabahatika, na mkazaa , tena mtoto wa watu alikua anakuheshimu na
kukupost instagram juu, Diamond ni malaya hilo liko Wazi, Ila kwa kuwa
iliamua kumzalia tena watoto wawili, we ni bora tu ungemvumilia upuuzi
wake mkalea watoto vizuri , maana tunajua kama usingetangaza kuachana na
diamond sidhan kama yeye angekuacha, hyo jeuri Hana , Diamond
anakupenda Ila kuna watu tu wanamchezeya tu akili kuaribu familia yako,
sasa na wewe ulivyokua na moyo mwepesi na kujifanya bosslady ukaamua
kumuacha, wenzio wakambeba maana walikua wanammendea toka alivyokua
kwako, Ila tunajua tu soon atarudi kwako kwa magoti maana now sio akili
zake, Ila ulicheza faulo kumuacha baba watoto wako
By Warumi/JF
Thursday, May 10, 2018
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU
0 comments:
Post a Comment