Kupitia mobetostyle kwa Mara ya kwanza mbongo muvi aunty Ezekiel
alipendeza sana kwa vazi La heshima alilovaa kwenye uzinduzi wa film
yake inayoitwa MAMA ktk ukumbi wa Mlimani City, kwa kweli umejitahidi
mnoo!
Aunty alipendeza haswaa akanoga,akaonogeka katika siku yake adhimu.
Hongera sana kwa kufungua kiwanda cha ushonaji(Tanzania ya viwanda)naona
unapiga hatua kubwa sanaa kimaendeleo na nimeona pia umevalisha mamiss
ifm 2018,ni jambo zuri wadada wa wadogo kama wewe ambao mko chini ya
miaka 30 mkifanya jitihada za kimaendeleo kama hizo.
hamisamobetto_BizPjA8HkzS.jpg
Hongera sana kwa wadada wa bongo movie pia kwa kuweza kuamua
kujishughulisha na biashara tofauti tofauti na kusapotiana katika kazi
zenu.
Nimekupenda bure we mdada na Mungu abariki kazi halali ya mikono yako!!
SIGNATURE
One step at a time!
Thursday, May 17, 2018
Hongera Hamisa Kwa Kumpendezesha Aunty Ezekiel
Related Posts:
Ray McDonald's Top 5 Countdown for Week Ending June 4>>>>DOWNLOAD HERE These are the five most popular songs in the BillboardHot 100 Pop Singles Chart, for the week ending June 4, 2016. In and out, here and then gone…the musical deck really gets shuffled in this week’s lineu… Read More
The five richest Bongo Flavour artistes NASEEB ABDUL (DIAMOND) He stayed in the shadows for long looking for a break but now that the limelight has been trained on him, he has proved that he belongs at the top of the music charts. He finally made a debut in … Read More
Msanii Ray C Apewa Msaada na Jeshi la Polisi ya Baada Kuzidisha Madawa ya Kulevya Msanii wa muziki Rehema Chalamila a.k.a Ray C usiku wa jana alikamatwa na jeshi la polisi maeneo ya Kinondoni Manyanya almaarufu ‘Kinondoni kwa Mpemba’ jijini Dar es salaam baada ya kuzidisha madawa ya kulevya na… Read More
[VIDEO]BREAKING NEWSS::VIDEO MPYA YA YAMOTO BAND YAITIKISA MITANDAO YA KIJAMII,TAZAMA HAPA KAMA BADO HUJAIONA TAZAMA HAPA>>>>>>>>>>>>>>>. … Read More
DOWNLOAD NEW SONG YAMOTO FT RUBBY...SUU>>>CLICK HERE! … Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU
0 comments:
Post a Comment