Akithibitisha
kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Jijini Mbeya Naibu Kamishna wa
Polisi Mussa Taib amesema Moses (24) amejinyonga mara baadaya ‘kubet’
na timu yake kushindwa kutwaa ubingwa.
“Mwanafunzi
wa chuo kikuu cha sauti mwaka wa pili anachukua shahada ya ualimu
amefariki baada ya ‘kubet’ pesa ambazo hazijulikani ni kiasi gani na
baadaya Liverpol kushindwa ndipo akachukua uamuzi huo”,amesema kamanda
Taibu.
Aidha
Kamanda Taibu amewataka wanafunzi kuacha kutumia fedha za wazazi kwa
mambo yasiyohusiana na masuala mazima ya elimu, kwani matokeo yake ni
hasara kwa wazazi.
0 comments:
Post a Comment