Nchi ya Burundi leo inapiga kura ya maoni kufanya marekebisho ya katiba
ambayo yanaweza kumuweka Rais wa sasa Pierre Nkurunziza madarakani mpaka
mwaka 2034
Kwa mujibu wa BBC Kura hiyo itapigwa ya ndiyo au hapana ili kuongeza
muda wa Rais kukaa madarakani kutoka miaka mitano mpaka saba katika
awamu moja.
Katiba ya sasa imeweka ukomo kwa Rais aliyepo madarakani kuhudumu kwa
kipindi cha awamu mbili, kwa mujibu wa mabadiriko yatakayofanywa yatampa
uhuru Rais Nkurunziza kugombea tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020
akiwa kama mgombea mpya na hivyo huenda akatawala mpaka mwaka 2034.
Chama tawala CNDD-FDD kinachoongozwa na Nkurunziza ndicho kinaendesha
kampeni ya kuunga mkono upigwaji wa kura ya ndiyo huku kiongozi wa
upinzani Agaton Rwasa chini ya mwamvuli wa muunganiko wa vyama vya
upinzani ujulikanao kama Amizero y’Abarundi wakihamasisha kura ya
hapana.
Thursday, May 17, 2018
Nkurunziza Kutawala Burundi Mpaka 2034
Related Posts:
Trump Amgeuka Mshauri Wake Kuhusu Kuifanya Korea Kaskazini Kama Libya Rais wa Marekani, Donald Trump amepinga kauli ya mshauri wake mkuu wa masuala ya ulinzi, John Bolton aliyedai kuwa mfumo wa kuondoa silaha za kinyuklia nchini Korea Kaskazini utafanana na uliotumika Libya. Tump ames… Read More
Kim Jong-un azidi kumvuruga Trump Rais wa Marekani, Donald Trump ametilia shaka kuhusu kufanyika kwa mkutano na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un mwezi june mwaka huu huko Singapore. Ameyasema hayo mara baada ya Korea Kaskazini kutishia kujio… Read More
Waziri Mkuu Azuiwa Kusafiri Waziri Mkuu wa zamani Najib Razak na mkewe Rosmah Mansor wamezuiwa kuondoka nchini, Idara ya Uhamiaji imesema Jumamosi. Taarifa ya Idara ya Uhamiaji ilitolewa muda mfupi baada ya kiongozi huyo wa zamani mwenye kashfa … Read More
Nkurunziza Kutawala Burundi Mpaka 2034 Nchi ya Burundi leo inapiga kura ya maoni kufanya marekebisho ya katiba ambayo yanaweza kumuweka Rais wa sasa Pierre Nkurunziza madarakani mpaka mwaka 2034 Kwa mujibu wa BBC Kura hiyo itapigwa ya ndiyo au hapana ili kuo… Read More
Raia wa Senegal ateuliwa Kuwa Makamu wa Rais Benki ya Dunia Makhtar Diop, raia wa Senegal ameteuliwa kuwa makamu wa rais wa Benki ya Dunia (WB) atakayekuwa anasimamia miundombinu. Diop alitangazwa kushika nafasi hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita na hivyo kumfanya kuwa miongoni … Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU
0 comments:
Post a Comment