Monday, July 11, 2016
Mambo Ambayo Wanaume Wanakosea Wakati wa Kutongoza Mwanamke
By jungukuuleo 3:04:00 AM
1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako.
2.KUJIFAKE
wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno
3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE
unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi?,,
4.KUMPONDA UR EX LOVER
mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae.
5.KULALAMIKA
Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako.UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBNA UTAMPATA KILA UMTAKAE
Related Posts:
Khadija Kopa Adai Ngono Inawazeesha Wasichana Wengi Malkia wa mipasho Khadija Kopa amefunguka kwa kusema kuwa ngono ni moja kati ya vitu ambavyo vinawazeesha wasichana wengi. Akiongea katika kipindi cha Ulimwengu wa Filamu kinachoruka TBC 1 Jumamosi hii, Khadija Ko… Read More
Aibu 20 za Wanaume Endapo Mwanaume Atafanya Haya Kwenye Mahusiano ya Mapenzi AIBU 20 ZA WANAUME: 1. Japo maisha ni kusaidiana ni aibu na fedheha mwanaume kulishwa na mkewe. 2. Ni aibu na fedheha mwanaume kuhamia kwenye nyumba ya mkeo ukakala ukakoroma na taulo ukafunga.. 3. Ni aibu na fedheha kue… Read More
WANAUME:::HIZI NDIZO NJIA SITA KUBWA ZA KUMCHEZEA MPENZI WAKO MPA AKAFIKA KILELENI.#1 Siku zote kumbuka : kurudia rudia. Miili ya wanawake hasahasa kinembe,huwa kinamwitikio mkubwa sana pale kinaposuguliwa kwa kurudiarudia,kama unatumia mtindo wa kuzungusha zungusha kama unazungusha CD ndivyo atakavyokuwa… Read More
Sifa za Wanaume Katika Mahusiano na Mapenzi Kutokana na Majina yao Majina ya wanaume na Sifa zao katika mahusiano yao na mapenzi 1. Dennis-mapenzi ya tamthiliya 2. Nicolas-muongo 3. Albert-domo zege ila mjanja mjanja 4. Mathias-anapenda mwanamke kwa muda mrefu 5. Joseph/Josephat-kiche… Read More
HIZI NDIZO STAILI 4 MUHIMU SANA ZA KUFANYA MAPENZI ZITAKAZOKUSAIDIA USIFIKE KILELENI MAPEMA.SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE Kama mwanaume uliekamilika kabisa ,kitendo cha kufika kileleni mapema sana huonekana kama udhaifu na ni aibu kubwa sana kufika kileleni kabla ya mpenzi wako.Kama unatatizo kama hili basi ondoa wasiwasi kuna namna nyingi za … Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU