test

Sunday, July 3, 2016

HIZI NDIZO STAILI 4 MUHIMU SANA ZA KUFANYA MAPENZI ZITAKAZOKUSAIDIA USIFIKE KILELENI MAPEMA.SOMA HAPA KIJANA NIKUJUZE


Kama mwanaume uliekamilika kabisa ,kitendo cha kufika kileleni mapema sana huonekana kama udhaifu
na ni aibu kubwa sana kufika kileleni kabla ya mpenzi wako.Kama unatatizo kama hili basi ondoa wasiwasi kuna namna nyingi za kuweza kujizuia usiweze kumaliza mapema kitandani.
""Wanaume wote wana mbinu mbalimbali za kuwasaidia wasifike mapema kileleni,mfano kufikiria mawazo mengine wakati wa kufanya mapenzi mfano:mpira wa miguu, mpira wa kikapu ""anasema A.L. Harper mtaalamu wa masuala ya kimapenzi kutoka  Uingereza.
Hata hivyo mbinu kama hizo huwafanya wasiwaridhishe wapenzi wao kwa sababu ya kuhamisha umakini kutoka kwa wapenzi wao na kwenda katika mawazo mengine kwa lengo la kuchelewesha kilele.
Basi kama unahamu na unania nzuri ya kufahamu mbinu hizo za kuweza kuchelewa kufika kileleni basi soma hapa live nimekuandalia zitakusaidia sana.

1.PIGA PUNYETO KABLA YA KUFANYA MAPENZI
Hii itakusaidia kuondoa wanajeshi ambao  wako karibu zaidi  na ambao wana haraka ya kutoka babla ya kufanya mapenzi,sasa utajisikia huru na tayari kufanya pasipo kipingamizi chochote.

2.USIMRUHUSU MPENZI WAKO AKUNYONYE UUME WAKO KABLA YA KUFANYA MAPENZI.
Wakati mwingine kunyonywa uume kunaweza kukawa kutamu zaidi ya kufanya mapenzi kwa njia za kawaida baada ya kunyonywa.Kuwa makini wakati mwingine kitendo cha kunyonywa kitakufanya kisogeze karibu zaidi mbegu zako na kupelekea kufika kileleni mapema sana mnapo anza tendo lenyewe.

3.KUWA MTOAJI /MAWAZO YAKO YAWE KWAKE NASIO KWAKO.
Hakikisha unapata muda wa kutosha sana wa kumchezea yeye kwanza na wakati wako utakuja hakikisha unakwepa vitendo vya yeye kukushika shika kwani vitakufanya uwe moto sana na kukupelekea kufika kileleni mapema isivyo kawaida.

4.KWEPA STAIRI ZA KUBANANA SANA.
Kuna stairi nyingine kwa baadhi  ya wanawake huwafanya kubana sana kwa sehemu zao za siri,hali hii husababisha msuguano mkubwa sana wakati wa kufanya mapenzi ,hakikisha unakwepa stairi ambazo zitakusababishia wewe kufika kileleni mapema sana kuliko kawaida
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU