test

Sunday, July 3, 2016

Rais Paul Kagame: Nikiwa Tanzania najisikia nipo Nyumbani, HAPA KAZI TU - Tuendelee na kazi

Raisi wa Rwanda mh. Paul Kagame akihutubia katika maonyesho ya sabasaba amesema muda wote anapokua Tanzania anajisikia yupo nyumbani na kusema sera ya hapa kazi tu na kuongeza kuwa tuendelee na kazi.
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU