test

Sunday, July 10, 2016

Diamond‬ Platnumz Kikaangoni Tena na ‪‎Skendo‬ ya ‪Kujiweka‬ Kimapenzi kwa ‪Hamisa‬ Mobetto

‎Baada‬ ya Kumaliza Skendo ya ‪‎Kutoka‬ Kimapenzi na ‪Video‬ queen wa Kwetu ya Raymond, ‪‎Diamond‬ Platnumz Kikaangoni Tena na ‪‎Skendo‬ ya ‪Kujiweka‬ kwa ‪Hamisa‬ Mobetto

Tetesi hizo za Hamisa Kutoka na Diamond zimepigiliwa msumari kwa kitendo cha juzi kwenye birthday ya Mama yake Diamond ambapo Hamisa alionekana kuwa karibu zaidi na familia ya Diamond hasa Mama na Dada yake Dai Asma Platnumz, Kitendo hicho kilitafsiriwa na wengi kuwa ndio chombo kipya cha Diamond hasa ukichukuliwa kuwa inasemekana familia hiyo ya Diamond kwa sasa haziivi na Zari ambae ndio mpenzi wa Diamond kwa sasa...
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU