test

Sunday, July 10, 2016

DIVA Loveness Aonyesha Upaja wake na Kuongea Haya Kwenda Kwa Wabaya Wake


Mtangazaji Maarufu wa Clouds FM Diva Loveness ameshare picha hiyo hapo juu kwenye page yake ya instagram na Kuandika Maneno haya Hapa Chini:

"Kwenye Maisha usiwe Muoga wa Kitu chochote , wala kuogopa Binadamu wala Paka Yoyote. Uoga Hukwamisha Maendeleo yako Binafsi , usisikilize ushauri wa Mtu yoyote ambae hakulishi na wala hakuvishi na wala usiwe na Nidhamu ya Uoga hasa Kwenye Jamii Ambayo kuwa na maadili au kutokuwa na maadili ni Maamuzi yako Binafsi , Maisha ni Mafupi sana Ishi utakavyo wewe na Furahia Maisha utakavyo wewe. Mtu akupende atajua mwenyewe akuchukie hilo lake yeye .. wee Tengeneza Pesa tu .. Tumia mtandao wa Kijamii unavyotaka .. ishi maisha yako unavyotaka wala usijal nani anapenda nani hapendi hilo lao ... ila wengine tunatengeneza Hela Kupitia Huu Mtandao na Tuna Network Moja Hatari...Yaan Ni Mwendo Wa Ku Focus .. so wale ambao umeamka na viwazo viwazo ..Be fearless , live bodly live to the fullest .. can't tel nothing '...kila mtu ami mind bizness zake .. kwan sh ngap? ermm swerveeee"
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU