test

Monday, July 11, 2016

Wauguzi Manesi Waliosababisha Mama Mjamzito Akajifungulia Korido Watumbuliwa



SHINYANGA: Wauguzi wawili wa kituo cha Afya Lyabukande, wamesimamishwa kazi sababu ya uzembe uliosababisha mwanamke mjamzito kujifungulia kwenye korido.

Pia wamefunguliwa mashtaka kwa tuhuma za kukiuka maadili ya utumishi. ..
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU