test

Monday, February 13, 2023

TAMASHA LA LADY IN RED YAFANYIKA JIJINI DAR

 TAMASHA la ''Lady in Red'' lafanyika Dar wabunifu na wanamitindo chipukizi wapatiwa tuzo kama pongezi ya Sekta ya ubunifu na wanamitindo kutambua mchango wao.Mkurugenzi wa Kampuni ya Hugo Domingo, Mario Frenandes akizungumza wakati wa tamasha hilo amesema kuwa waandaji wa onyesho hilo kwa Msimu wa pili  wa "Lady in Red limekuwa moja ya jukwaa linalotoa fursa...

Friday, June 21, 2019

VEDIO MPYA: Simama na Mungu By Shalom band (Official video)

Install Application ya JUNGUKUULEO Uweze Pata Habari Kirahisi Zaid...

Saturday, March 30, 2019

JIFUNZE ZAO LA MAPARACHICHI

Tunda hili lina faida nyingi sana, mbali ya kutumika kama zao la kiuchumi lakini pia hutumika kuimarisha afya ya mwili1. Faida za Parachichi upande wa Lishe-Tunda lina vitamini zifuatazo1. Lina Vitamini A-husaidia sana kuimarisha Macho kuona vizuri2. Lina Vitamini B (B1-B12)- Husaidia sana mfumo wa misuli ya mwili kuwa sawasa na kuuepusha mwili na matatizo ya...

Monday, May 28, 2018

Rais Na Mwenyekiti Wa CCM Dr Magufuli Aongonza Mkutano Wa Halmashauri Kuu Ya Taifa (NEC) Ya CCM Jijini Dar Es Salaam Leo

Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa meza kuu katika Ukumbi wa mikutano wa Kikwete katika Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ukumbi wa Kikwete leo Jumatatu Mei 28, 2018   Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana wakati akisoma muhtasari wa Mkutano ...

Uwoya Aelezea Jinsi Mwezi Mtukufu Unavyodumisha Penzi Lake na Dogo Janja

Mwanadada Irene Uwoya na mume wake Dogo Janja amabao kila siku hawaishiwi na drama katika  mitandao wanakuja tena kivingine na kuelezea jinsi mwezi mtukufu wa Ramadhani unavyodumisha mahusiano katika ndoa yao. Irene anasema kuwa akiwa kama mke halali wa Abdul (janjaro) anahaki zote za kukaa na kutulia kipindi hiki cha ramadhan na kumpikia mume wake  kwa...

Vilio Vyatawala Bungeni....Bunge Laahirishwa Hadi Kesho

Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson leo asubuhi ameahirisha Bunge mpaka kesho saa tatu asubuhi kupisha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Mwl. Kasuku Bilago aliyefariki siku ya Jumamosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.  Vilio na simanzi vilitawala katika ukumbi wa Bunge kutokana na kifo hicho cha Mbunge huyo wa Chadema aliyefariki dunia...

ACT Wazalendo Wahoji Matumizi Fedha Za Korosho

Chama cha ACT Wazalendo kimeitaka Serikali kupeleka haraka asilimia 65 ya fedha za mauzo ya nje ya korosho ghafi kwa Bodi ya Korosho ili zitumike kama zilivyokusudiwa. Akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano ya Umma wa chama hicho, Ado Shaibu, alisema kutokupeleka fedha hizo kutasababisha gharama za...

Baada Ya Diamond, Lynn Ahamishia Majeshi Yake Kwa Chris Brown

Video vixen Irene Hillary maarufu kama Lynn aliyejizolea umaarufu Kupitia video ya Rayvanny ya wimbo wa ‘Kwetu’ amefunguka kuhusu mahaba mazito kwa supastaa wa kimataifa Lynn alipata umaarufu baada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz hadi kubeba mimba yake. Lakini hivi sasa Lynn ameweka wazi kuwa mapenzi yake yote yamehamia kwa staa...

Korea Kaskazini Yasisitiza Ipo Tayari Kwa Mazungumzo na Marekani

Ni nia ya kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un kuwa mkutano kati yake na Rais wa Marekani Donald Trump uendelee, imeeleza taarifa ya vyombo vya habari vya Korea Kaskazini. Hii ni kutokana na mkutano wa kushtukiza wa siku ya Jumamosi kati ya Kim na Rais wa Korea Kusini, Moon Jae-in. Rais Trump alisitisha mkutano uliopangwa kufanyika tarehe 12 mwezi Juni kuzungumzia...

Mwanafunzi Chuo cha SAUT Ajinyonga Baada ya Timu Yake ya Liverpol Kufungwa

Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuo kikuu cha ‘St. Augustine’ kampasi ya Mbeya Moses Mashaka amejinyonga mara baadaya timu yake ya Liverpol kushindwa kutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani ulaya. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Jijini Mbeya Naibu Kamishna wa Polisi Mussa Taib amesema Moses (24) amejinyonga mara baadaya ‘kubet’ na timu yake kushindwa...

Sunday, May 27, 2018

Lema alipongeza Bunge, akomaa na Stahiki za Tundu Lissu

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka kuwa bado wanaendelea kutafakari suala la Mbunge wa Sigida Mashariki Tundu Lissu kuhangaika na kutafuta misaada ya matibabu kwa watu mbalimbali duniani, kwani Bunge bado linatafakari kuhusu stahiki zake, haki na gharama za matibabu. Mhe. Lema amezungumzia hayo ikiwa ni siku moja tangu kutokea kwa kifo cha Mbunge...

Mtanzania Aibuka Kidedea Mashindano Ya Kuhifadhi Quran Afrika.....Waziri Mkuu amtaka Sheikh Kishki akaonane na Waziri wa Ardhi atoe maamuzi ya kiwanja

KIJANA wa Kitanzania, Shujaa Suleiman Shujaa ameibuka kidedea na kitita cha sh. milioni 15 katika mashindano ya 19 ya Afrika ya kuhifadhi Quran kwenye kundi la washiriki wa juzuu 30. Shujaa mwenye miaka 23 ambaye ni mkazi wa Morogoro, amejishindia pia laptop, kiwanja chenye hati eneo la Kigamboni kilichotolewa na kampuni ya Property International ya jijini Dar...

PICHA: Rais Magufuli Alivyokutana na Kufanya Mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 27 Mei, 2018 amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo hayo Mhe. Rais Magufuli alipokea salamu kutoka kwa viongozi wa chama na Serikali wa Afrika Kusini na Zimbabwe...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya May 28

...
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU