Babake, Jorge Messi, pia amehukumiwa kufungwa
jela kwa kuilaghai Uhispania €4.1m (£3.2m; $4.6m) kati ya 2007 na 2009.
Wakati wa kesi, waendesha mashtaka walisema
maeneo salama yenye kinga dhidi ya ushuru Belize na Uruguay yaliyumiwa kuficha
mapato kutokana na uuzaji wa haki za picha za mchezaji huyo.
Lakini Messi amesema hakufahamu lolote kuhusu
masuala yake ya kifedha.
Thursday, July 7, 2016
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU