test

Sunday, July 10, 2016

Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi Atumbuliwa Kwa Tuhuma za Malipo Hewa



Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Meja Jenerali Rwegasira amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kufanya malipo hewa.

Mhasibu Mkuu huyo Frank Msaki amesimamishwa kazi kwa kufanya malipo ya kiasi cha sh. 305,820,000 kama posho ya chakula kwa watu ambao sio Askari Polisi.
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU