test

Thursday, August 4, 2016

Zitto ampigia magoti Rais Magufuli, amlilia aruhusu mikutano ya kisiasa


Mkuu wa ACT Zito Kabwe amempigia magoti Magufuli na kumlilia aruhusu mikutano ya kisiasa.

Kilio hicho kumetokana na marufuku ya rais Magufuli kufanya mikutano ya siasa. Zito amemuomba rais kuruhusu mikutano kwani atakiua chama cha ACT Wazalendo kwani chama chake kina jimbo moja tu ambalo ni Kigoma mjini.

Hivyo kama ACT itakuwa inafanya mikutano yake Kigoma mjini tu.

MY TAKE: Zitto acha ubinafsi.Halafu haki ya kikatiba haipigiwi magoti wala kuombwa, ni lazima

TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU