Mrembo Wema Sepetu amekanushaa taarifa zilidodai kuwa bidhaa zake mpya za lipstick zinafanana na zile za mwanzo.
Wema amesema hilo halina ukweli wowote zaidi ya watu walioamua kuzusha hilo.
“Kiss
by Wema sio Wema Sepetu Liquid Matte, Kiss by Wema ilikuwa na mafuta,
hii ya pili ni kavu, hazina mafuta and zipo kwenye package tofauti na
zina ubora zaidi kuliko zile za mwanzo,” Amesema Wema Sepetu.
September
2017 Meneja wa Wema Sepetu, Happy Shame alikanusha taarifa zilizodai
kuwa lipstick za ‘Kiss by Wema’ zilipigwa maarufu na Mamlaka ya Chakula
na Dawa Nchini (TFDA) kwa kueleza kuwa bidhaa hizo hazikuwepo tena
sokoni kwa wakati huo.
0 comments:
Post a Comment