Msafara
wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali
baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya
jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato
wakitokea mkoani Geita.
Thursday, July 14, 2016
Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana
By jungukuuleo 1:27:00 AM
Related Posts:
Taasisi 680 Kufutwa.....Zipo za Kidini na za Kisiasa WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), inakusudia kuzifutia usajili bodi za udhamini 680 za taasisi mbalimbali; ambazo zimekiuka masharti, ikiwa ni pamoja na kutokuwa hai. Aidha, Waziri wa Katiba na Sheria, … Read More
Dereva wa Basi la City Boy Asomewa mashitaka 30 ya Kuua MMOJA wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya City Boy Jumatatu iliyopita katika kijiji cha Maweni wilayani Manyoni, Jeremiah Semfungwe (34), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida akikabiliwa na mak… Read More
Waziri Mkuu wa India Kutua Nchini Leo WAZIRI Mkuu wa India, Narendra Modi anawasili leo nchini kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku mbili kwa lengo la kudumisha ushirikiano katika sekta mbalimbali kati ya nchi hizo mbili. Akizungumza na waandishi wa … Read More
Watoto Wanne wa Familia Moja Wateketea Kwa Moto Wakiwa Usingizini HUZUNI imetanda katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya ajali ya moto wa kibatari kuteketeza watoto wanne wa mama mmoja, waliokuwa wamefungiwa chumbani na dada anayewalea. Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamki… Read More
Polisi Watano wauawa katika maandamano ya kupinga mauaji ya Weusi Marekani Askari watano wa Jeshi la Polisi jana waliuawa kwa kudunguliwa na mtu asiyejulikana mitaa ya Dallas nchini Marekani, wakati wa maandamano makubwa ya kupinga mauaji ya watu wawili weusi yaliyofanywa na askari wa kizungu… Read More
TANGAZA HAPA KWA BEI NAFUU